Sato braai...

Leo ni kachoma mdogo mdogo…

[ATTACH=full]43737[/ATTACH]

6 Likes

Hio nyama iko na mifupa mob sana

1 Like

Wewe kwani uko kwa Zuma? Sema choma mwoto

1 Like

Mwaga Jack kiasi juu ya nyama for flavor

2 Likes

Napenda sana hio part ya mafuta…

2 Likes

Naskia pia guiness husaidia flavor @Gio

Napenda pia na ka ugali mwoto

1 Like

Hii minofu ni ya mnyama gani? …think sunday choma with…@wakanyama toa expert advice

Ni beef, they cut them in slices for easy barbecue…

Ile matako ime jaa huku boss, woi…

Karibia nyama…:wink:

2 Likes

Apan tambua jug daniels tenesi

yep it does and also.brandy

hiyo nyama inakaa ya zebra hivi hivi

Ongezea Teargas kiasi

lakini hii ni upeasant ,kuanika kanyama quarter online?kweli jamaa uko na mashida hivi hivi

1 Like

upeasant iendelee…

[ATTACH=full]43756[/ATTACH]

Time ya winter ka gordons, maji moto na dimu huwa mhimu… tenesi niya jua…

1 Like

So says an authority on meat!

1 Like

I thought the same thing. Vile iko na yellow shades hiyo nyama si ya ngombe au mbuzi!!!

[ATTACH=full]43787[/ATTACH]Peasant anaringa na tu 1/4 tumbili , na birrionaire ako na thenge na doba kadhaa

[ATTACH=full]43788[/ATTACH] Hizi nyama zilitokea hapa