satanism going mainstream..

[ATTACH=full]149669[/ATTACH] So nimeget update ya the latest what’s happening on humanity plus and it just fits perfectly with the bible narrative… Revelations 9.6 to be specific.
[ATTACH=full]149668[/ATTACH]
An this, RFID aka the ‘mark of the beast’ ndio fashion sasa. Ata last year ntsa walidai mandaé zote lazima zichipiwe. That’s how it starts, first our cars, then our invalids and health care then everyone else.

[ATTACH=full]149667[/ATTACH]
At this point if you think all this stuff is just conspiracy nutter theories you’re just willfully ignorant. We are edging closer to a cataclysmic paradigmatic shift in our lives and the books all foretold it thousands of years ago. It really is time to get right with God and I mean yesterday. And yes, earth is still flat.

Tumia muda wako kupata masomo, sio kupayuka tu.

7 Likes

I still don’t see why I should be afraid of satan if I wasn’t afraid of the ogres I was taught about as a child.

Ogopa vitu za maana kama kipara ama why we call the colour red red.

10 Likes

o_O
[ATTACH=full]149670[/ATTACH]

7 Likes

meffi

Ditto…

[ATTACH=full]149671[/ATTACH]

Satan is just a bogeyman for intellectual babies like you…

2 Likes

See you say that now…

Lol… Just lol.

but ukweli hizi vitu za chip tuliambiwa tukiwa watoi imeanza ku happen kwanza job vile walianza kututumia kama dummy system ya ya face recognition sikufurahia

2 Likes

Na bado ati passport zitachujwa zireplaciwe na a biometric system, na hii ngomi uhunye imekubali…

@introvert ambia hii myamaa aache stigma

1 Like

Ango unateta lakini bado utaunlock simu na fingerprint.

1 Like

hapana banaa tukiwa watoi tuliambiwa siku moja tutawekewa chip ya 666 chini ya maji na naona ikifanyika . saitan atatumaliza

3 Likes

Ndio nasema ishafanyika kwa hivyo meza Njemison polepole kama awali tu.

1 Like

Hii jamaa urefu yake na upusu yake zinatoshana.
Ni Saitan kabisa.

1 Like

:D:D:D:D:D:D

Gunia loading…

1 Like

hapana hatuwezi kubali saitan atumalise kama ni maandamano ni sawa tutaanza

2 Likes

Unajua Kipara ni mark of the beast?

6 Likes