sasa ni lunch time...utakula wapi?

https://www.youtube.com/watch?v=nAhXmBf4HPE

zero grazing ofisini.

kibandaski[ATTACH=full]114579[/ATTACH]

2 Likes

njogu-ini

1 Like

Carry food from home.

mwanaume??

Si ndio. Kwani wanaume hawali?

8 Likes

nimepatana na matumbo mahali

[ATTACH=full]114581[/ATTACH] Mambo uswahilini

3 Likes

sawa doc

Sisi majamaa wa kupiga miayo tumeachwa wapi? Air burgers ndio zetu. Hatugwespata korera.

inakaa tamu lakini ni ndogo bro

Soda na keki uhuru park

mwanaume mzima halafu ugongwe njiani Githeri imwagike, naaweza kimbia niwache hiyo food hapo

12 Likes

Kuna msupa huniletea pilau huku cbd.

Hii siwezi shiba

hujaelewa, bachelors hawapiki

bana, kwanza saa hizi niko kwa keja lakini the past 3 days only tea has been cooked over here, na some fried eggs

1 Like

Nilikuwa bachelor mode for the last 2 weeks Leo ndio Bibi amerudi, Niko Na furaha isio Na kifani. Nilikuwa napika chakula naidish siku Tatu ndio nispike tena.

:D:D:D:D