Sasa hii ndio the real deal

Nikawa mbirrionnaire kama @Maize_Combuster na @ChifuMbitika ati nina ranch mahali naweza try hii lifestyle

5 Likes

Hii lifestyle naishi nikifika 90

2 Likes

Kupeleka ngombe malishoni forest ni illegal chairman. Utawekelewa copper ya matako na forest rangers alafu warudi waniuzie, na waseme ulikuwa unafanya illegal logging.

3 Likes

Hata msee akiwa na shamba biggy tena na ilegal?

1 Like

Already ukona 88, two more years to go

Welcome to birrionea lifestyle my brother

2 Likes

Hio ni lifestyle ikona utulivu mwingi sana.

5 Likes

Eggzatry

1 Like

Natafuta mbirrions nishike acres kadhaa

3 Likes

Kuja Laikipia ushike ten acres at 1m per acre

1 Like

tabia na mienenda yako haiwezi kubali ufikishe sigistee

nasaka mbirrions kwanza, hata ile dream yangu ya ku own fortuner niliitupilia mbali.

2 Likes

kwa mashamba zetu upande ya riverside lazima tunawacha sehemu kama hiyo,Hiyo sio forest buana

1 Like

Hii ni shamba ya forest buana. Ukitaka kujua forest watu wanapanda maize without ploughing the land. Ni mashimo tu .. na kuweka mimea chini. As you can clearly see, hapo penye ngombe zipo malishoni .. kulikuwa kumepandwa na shamba ni kitira. Huku ni Mau forest bro. I know the area well.

1 Like

Some where

In central

4 Likes

Yes that lifestyle sio mbaya, thats an image borrwoed online. DCI fake saidi

After project na ingilia land. Nikiweza na shika acre 30-40. Panda miti chimba dam uko sorted.

2 Likes

Dam si itakula mbirrions ka zote, better kisima 600-1.4 M, fuga mifugo kuwa supplier, organize deals na walalo pale kiamaich wanakujia

1 Like

Dam sio mingi ni eskaveta na kuweka dam liner. Mvua ya long rain ikijaa hapo uko sorted.
Unajua 1 ft cubed is equal to 28 litres. Ukichimba 200ftx150x10= 300000ft cubes. Which is equivalent to 8.4m litres. Hii utalima nayo.

2 Likes

Na pia si serkali itakukamua vilivyo, such a ‘structure’ inaweza kuwa risky saidi iki overflow

2 Likes