SARAH KABU's saga: Kumbe ni mpango wa kando si househelp

Your ‘perfect couple’ on social media…Kumbe behind the scenes ni mavita tu


1 Like

Tuliona hii wakati Kasongo akiuza kuku sugoi

7 Likes

Planteshen = Suffering

2 Likes

Hawa influencers ni watu bladifakin. 90% they don’t own the companies the are always Marketing

3 Likes

Wtf…with all that money hiyo ghaseer haingepeleka side chick to a hotel? (Hes an agent) One thing i swore to never do…is even let a side chic know where i live…let alone bringing her to my matrimonial house. Hapo ndio na cross the line. Na sijawai beba side chic na gari ya wife wangu…only my car (mobile brothel) . I respect my wife but still lazima ninjoti nje

7 Likes

Elewa brother…Not just a side chick but she is pregnant for him. Bibi alileta kichwa akaenda so Simon brought the lady. On this, I stand with Simon. Best way to deal with bibi Sumbua

7 Likes

Ata ungesema uliona wakati mamako aliacha kuvaa kamisi akaanza kuvaa biker

1 Like

The side chick is better than the wife. Maje the side chick the second wife.

Thats how your ALPHA great grandparents did. And they managed up to 10 wives.

Tgey never took second wifes to unknown bush lodgings. They set up pieces of land for each wife in the same compond

3 Likes

The wife is shapeless na wale toxix roho chafu siwezi laumu man Simo.

6 Likes

Why have CCTV inside the house?

5 Likes

Swali la kimaskini hili. Dah!!!

7 Likes

As the Crown’s Chief Advisor on Familial Matters to Number 10 Downing Street, nasema hivi; boy wetu Simo asiguzwe hata kidogo. Kama Bibi alienda kwa hiari yake asirudi kusumbua watu after wamejipanga.

10 Likes

Mabibi kisirani wanakuwa exposed of late. Sijui nje pose huyu wangu pia…

2 Likes

tuwekee hap tukamue

1 Like

One needs privacy while inside the house not having someone watching/recording you 24/7. CCTVs should be outside the house for security.

Even housegirls and kids need to feel free while at home and behave naturally not being stressed that someone is watching their every move.

I hope hamuweki CCTV mpaka kwa choo.

6 Likes

The rich also cry. Wife ni msmart hapa, walifound a company together but akakua majority shareholder.

3 Likes

Fixed

1 Like

In the exception of lanyes, kwani unawakulia wapi kasee na utaanza aje kuexplain mbona haumpelekangi kwako ?

Kabisa

Biashara yao itanoga msimu huu wa likizo courtesy of hizi vipindi