Saraday Indoors Jabberation

Nimeland wadau.

Nimekuwa nikichungulia optical nutrition kama guest naona Iko murwa kabisa(what was the sense of Magdalene banning it in the first place? Shenji sana.

Anywho, hapa ni rootsie roots na ngoma ndani ya man cave.

Kupangusa mabega vumbi na kusema Asante Kwa kuwa hai ingawa wamashati has DFBLHKM in every way possible.

RNWBP!!!

Enjoy your Saturday night wadau[ATTACH=full]426817[/ATTACH]

weka KBC kuna indoor olympics inaendelea. na hio combination ni sumu sioni ukifika 38.7 years

[ATTACH=full]426820[/ATTACH]

Chonjo mdau

[ATTACH=full]426821[/ATTACH]

Niaje Anko. Sikuwa na pesa ya Gibleys mzinga. Instead of going to Airport Malaysia kusafisha mecho na nyoka za 150 na Jug Daniels black, nimeona tu nikae kejani.

Me husema tutadedi tu ata kama hutumii Madre unaget cancer na kadhalika. As the saying goes, mlevi ni wa mungu.

Ghaseer tucker tucker. Kila mtu Kwa Raha zake

Me sio @culture priss

Safari ya Meru imeanza. Niko kanyonyo Sasa. Kororia na youtube… I can’t ‘show ignored content’. Ukraine na wamashati wanipee stress sembuse wewe ghaseer!!![ATTACH=full]426841[/ATTACH]

Safi omwami

Nunua meza, sokwe mtu kwani uko na handle ngapi.

Wewe ukipata pesa inaweza kukuuwa haraka sana na ulevi na madrugs, shukuru mungu uko broke

Piga punyeto kwa amani.

Morio ngori nimewakilisha

UGT

In as much as mnapenda kucreate many handles and reply to yourselves all day long, for the sake of traffic, I’m NOT a multihandler. Anko Navy Seal Uwes can vouch for me. Ask Meria Magdalena since ni mwenye site.

Wewe na pombe zako za elfu Tano unakojoaga Kwa hewa, alafu precipitation, kunyeshe, tukunywe kama maji. Funda malaria!

Jibambe kaka

The last Uber driver, he was on this shit 24/7 , hio Gari I can’t even drive myself, five month later it’s still smelling like the combo shit you are ingesting. Kidney failure, both, bugger was fat kumbe ni ugonjwa na hizi haram akoho.

Najua handaz ziko juu …YOLO.