3 years ago, there was this girl nilimspot kwa church. Her name is Sandra. Alikua 22. Nilikua nimekufia huyo dem sana but I never had the balls to go and even say a simple hi to her. All I did was just admire her from a distance. Ilikua tu hivo until one day kitu noma sana ikafanyika. Kanisa ilikua imeisha and I was just sitting on a bench sikumbuki nilikua nangoja nini. Then out of nowhere Sandra came walking towards me and she sat on the bench mbele yangu facing me and looked at me square in the eyes without uttering a word. Ata Hi hakusema. Aliniangalia tu. Sijai jua aliamuaje akafanya hivo. I must have been intimidated by her confidence. Anyway, hiyo day nilirudi sermon ya jioni kuhang out na yeye and hapa ndio nadhani nilichoma akajua nampenda juu mm sikua narudi evenings.
My biggest regret is the fact that sikuwai escalate bana. Mainly because I never figured out whether this girl liked me or not. Nilimpeleka dates kadhaa alafu upumbavu ingine nilikua nayo ilikua kumuambia ambia vile ni msupuu, sthin ameambiwa na 1000 men before me. Game yangu ilikua non existent. Kwanza nakumbuka our last date tulienda after tumekula na kunywa etc sasa nikamdrop kwa gate yao. Awkward as fuck moment. Tulikua tumekaa mbele kwa gari sasa mi nikamsho bye tu kama brathe. Nikampea mkono ni kama nataka nimgotee but akakataa akanihug. Hapa ilikua inafaa nipige yeye munju noma sana but courage niliwacha kwa nyumba. Suffice to say, kuma ya huyo dem ilinipita hivo tu.
I still have a major problem ya kuescalate so skuizi naitisha tu coomer direct, kama mbaya mbaya. [ATTACH=full]491053[/ATTACH]