Samsung Galaxy note 8

Uko na crack key?

Wueh

[ATTACH=full]338525[/ATTACH]

SUCCESS!!!

Wacha sasa nikule pesa ya HomaBay County government!

Usikose kutumia elders hata chang’aa.

Omwami I’m in the market for a new phone. Hiyo note 8 ikoje na story za keeping fire and performance?

Performance 10/10

Fire 6/10. Batt yake ni 3300Mah. They reduced the batt size after note 7 zianze kulipuka lipuka.

Overall ni phone poa with awesome extras kama wireless charging na smart scroll alafu display yake ni mambo mbaya!!

Pia ukitoa mbele ya watu heshma inapanda kiasi…

Swafi bro, I think nitachukua hiyo note 8. Acha nichungulie aliexpress