Samsung centre hillton

these are crooks i asked them to change my battery they ended up putting an old battery in the phone i figured out when the phone was having its screen repaired

2 Likes

Battery unanunua kwa Dama spares unajiekea

2 Likes

Anus licker na kufungua simu?

screw driver inauzwa 50 bob

1 Like

Anus licler acha kulaba anus sana screw :screwdriver: inafungua simu gani

Where is Dama based? Nina tablet ya mtoi haikalishi moto. Napiga hesabu ya kushika battery badala ya kushika ingine juu itafanywa mkebe very soon rather than later

This is all you need to repair phones

3 Likes

kuna specialized equipment ya kufungua Samsung?

Ni rafiki yangu sana huku down town

wako hapo town

Ndio, anus licking inaua brain cells

Shida ni hio skill ya ku repair nangos.

Kwangu I have tools but am not good kuzitumia, Huwa nazishika tu.

Mimi ni yule msee akifunguanisha electronic unajua tu utapatana nayo kwa dustbin…but I find it kinda fun kuunda stuff Moja mbili.

Nina woofer Fulani ya kichinku ili spoil, nikaamua kuifunguanisha and see where the problem is, kuifunguanisha nikaona sioni shida any…but haidu, ilibidi nipatie fundi afanye kazi yake.

Sina skills but naona naweza learn online nikiwa free nashikanisha mawaya naskia fiti nikiona results. Na develop interest ya ajab sana lately. Ufundi. Something I avoided

Kejani Kuna toyz za maboys zile za remote, na vile nilizishika kwa bei ghali, zimespoil na siwezi mind kuzifufua

4 Likes

Ingia class ya technicians, ufunzwe heatsinks and how MOSFETS do the job. You will appreciate ma fundi hata wale wa nwele

3 Likes

But inakaa kuwa activity finest kama uko indoor

Kuna okuyu analipisha 50k pale philadelphia house kufundishwa kitumia hizi vitu kutengeza phones

1 Like

Niko na special vacuum chamber ya kuweka simu hapo ndani, nishwahi weka panya hapo nikaona vile ilikufa

Watch this guy to see how the tools are used.

2 Likes

very arrogant and overpriced centre

Huo ni uimbirisi banae…

Samehea kiumbe cha Mungu; kina haki ya kuishi pia.

Inatuoneanga huruma ikikula mbembe, na kuleta maugonjwa kama plague?

1 Like