Wadau leteni maoni ya hii gadget
Kamata A52s ya last year iyo ndio flagship killer,
Get m52 5g instead. It’s way better in all aspects
Bei?
45000/=
god these A’s and numbers are too much
Chukua xiaomi mi 11 lite 5g. Noma sana
Iko sawa sana shida ni battery life sio nzuri na pia inaoverheat sana haswa ukiongea kama mda zaidi ya dakika kumi.
Asanteni sana kwa maoni
@Electronics4u @administrator tafasali msikubali mtu achomee kitungu yenu. Tupeni hao matapeli siberia.
Tulisema 5G inaleta cancer ama vipi?
[ATTACH=full]442283[/ATTACH]
cancer ya wapi bro
Brain
I tested its night mode camera. I was impressed by how the image turned out. It is worth buying. Any samsung above 35k in 2022 is worth buying