SAMAKI KUUZWA KAMA BANGI(Geita)

Kwa sasa nipo hapa mjin kwa siku kadhaa, raia na wakazi wa hapa wamekuwa wanapata shida kubwa sana hasa kwenye kuuza samaki,

wakina mama wanakamatwa na kupigwa pingu, asubuhi ya leo nmeshuhudia ktk soko la mbugani/joshoni kinamama wanakamatwa na kupigwa pingu, imetokea tafulani kubwa,

Hao jamaa wa mali asili wanakuja na pigu kama wanakamata majambazi au wauza madawa ya kulevya, najiuliza hivi kwel viongozi wa mali asili na uvuvi wamekuwa wazembe kiasi cha kushindwa kutumia diplomatic way?

Inamaana mpka samaki anafika sikoni wameshindwa kumzuia huko anakovuliwa mpka wanamkamata mama ambae anatafuta mkate wake wa kila siku?

Wameishiwa mbinu kiasi cha kuwaonea hawa wakinamama walio na mikopo midogo ili wajikwamue?hivi kwel serikal nzima imeahindwa kuja na mbinu shirikishi ya kuwasidia watu wa geita na maeneo yanayovua?

Nmeaikia jimbo na presidor huko hawakamati na wanakotoka mpina(waziri) je hawa raia wa geita, mwanza na musoma ndo wahanga?

Rais wangu fika mahali waonee huruma hawa watu, itaenea chuku buree,watu mlio karibu na ptesidor mwambieni kuwa kunasiku atashihudia maafa ya wavuvi wa samaki, wafanyabiashara na hao wanaojiita maafisaaa wa mifugo…

Niombe tu, kama samaki hawajazuiwa kenya, na uganda kwa nn sis tunawazuia wakati samaki wanasafri na hawana mipaka?

nasubri majibu ila msinihukum kwa kusema ukweli, msema ukweli ni mpenzi wa Mungu…

Kanda ya ziwa pote imekuwa kero juu ya hilo jambo

Mmmh so sad

Lakini hayasikii hao unaowasemea. Ngoja uje uchaguzi yapewe kofia, kanga, vitambaa vya kichwani, T-shirts. Yanasahau kila maovu yaliyotendewa. Acha yapate joto ya jiwe!

Ila kwa muziki huu waliochezeshwa na jiwe! Nahisi wengi wamefumbuka macho, tusubiri tuone yajayo.
Watu wengi wamejenga chuki sana

Mkuu hata kwenye jimbo la jiwe mambo ndivyo yalivyo. Wachuuzi wa samaki wanakamatwa na kutozwa faini kiasi cha laki tatu na kunyang’anywa samaki kila leo. Yaani jamaa anafikiri uchaguzi ujao atachaguliwa na masikari maana ndiyo amewapa kipaumbele katika awamu hii ya kwanza ya uongozi wake.
BTW hii ndiyo sifa ya madikteta wote duniani, nina imani 2020 kutakuwa na mauaji ya ajabu ambayo hatujawahi kushuhudia tangu nchi hii ipate uhuru. Mark my words and save date.

Hizo t-shirt na kofia na takataka zingine, vinanenewa kabla hawajagawa ndio maana mijitu haikumbuki kitu.

Noted

Nilikuwa kisiwa cha ukerewe mida ya jioni napata chakula cha jioni, nikaona askari wawili wakiingia 1 kakamata bunduki ya kawaida, mwingine kakamata bunduki inayobeba mabomu ya machozi, nilistuka ikabidi niwaulize wenyeji kulikoni wapi kuna vurugu manake na wao walikuja kula pale, ndio kaka1 akanitonyakuwabhawa ndio wanakwenda kuwapiga wananchi kwa hayo mabomu na risasi katika operation yao ya samaki, nikasema ndo wanabeba silaha kama wanaenda kumtoa idd amini? Ila huko napo ni kilio, watu wanamenya mapapai mabichi na kuyapika kwa ajili ya kula, samaki hakamatiki na hashikiki, nilitokwa na chozi nilivyoona mji 1 wakipika hayo mapapai

Mambo ni kwa rula!

Inasikitisha sana…

Serikali kwa sasa haijalishi unakamata nini na kwa kosa gani…

Agenda kuu ni ukusanyaji wa mapato… hao wanaokamatwa nia na madhumuni ni kwenda kuwatoza au kuwalipisha fini ili pato la taifa liongezeke…

Na hili la kosekano la vyanzo vipya vya mapato unadhani kifuatacho ni nini?

Cc: @Mahondaw

hehee wamegusa pabaya nyumban kwa mkulu bora wangeenda huko kaskazn lkn hapo watapata tabu sana wengne watafukuzwa, tusubr tuone.

Hilo la Nyumbani kwao yeye hajali kabisa, maana kwanza huwa hana ushirikiano hata na ndugu Wa ukoo. kuna taarifa watu kadhaa wakati akiwa waziri Alisha wahi kuwa choma ndani wakigombea ardhi ya urithi na mwingine usio muhusu yeye wakuja

Safi sana waendelee hivyo hao maliasili, huko ndiko walikompa kura “jiwe”

Angalau tupate akili na kuona tulikosea sehemu.

Kamata wote ndani.

Na akienda huko akawatukana na kuwakebehi wenyewe wanapiga makofi na vigelegele, kweli watanzania aliyeturoga alishakufa

Rafiki, siyo majitu ya vijijini ! Let us wait and see! Nilitegemea Kinondoni hata kura moja ya Mtulia isiwepo, lakini kama 100 zilikuwepo! Huoni majitu ya ajabu! 2020 kura za rais wanaweza kuiba, wakalazimisha, lkn za wabunge zinaweza zisiibwe na hivyo kuwa na bunge la wingi wa wapinzania and Jiwe will be powerless unless the country becomes a military state!

Sawa kabisa, wacha yapate akili kidogo. Majitu ya hovyo!

Upinzani should raise alarm to inform International community of the expected mass killings 2020! Let them voice it and save the date for future reference as you have put it!

Serikali kazeni sana mpaka watanzania akili ziwarudi

Umemaliza kila kitu. Wizara hii baada ya kutopata kutoka Hazina fedha sasa imetakiwa kuingia msituni kuwinda mapato halali na haramu kutoka kwa wadau wake. Incidentally, baadhi ya wadau wamekuwa wakitoa huduma ambazo wizara imeshindwa kuwapa wadau wake. Lakini badala ya kupongezwa, wadau hao wameviziwa na kubambikizwa makosa kibao ili waweze kudaiwa tozo ya mamilioni. Waendesha operesheni wenyewe wamesema kuwa walitumwa pesa! Kuthibitisha hilo, baadaye tozo zikawa negotiable; kwa mf. kutoka zaidi ya 10m hadi 2m! Kwa hali hiyo unaweza kwenda kulala ukijua nini kitatokea kesho? No way.