Salome by Diamond - Crowdsourcing explanation

I have been listening to this song and i think it is the best remake of the original song by Saida Caroli(sp) . Below are the lyrics copied from somewhere in the web. Talkers help me understand some parts of this song… kiswahili kidogo kanichenga. so quote and explain.

Kioo akidanganyi mama
umejipodoa umepodoka
Mwendo na shepu vyote mwanana

Mimi suruari yanidondoka
Tukimbizane nini salome wangu?
Iyo michezo ya jogoo
Mbona watizama chini salome wangu
Ukimuona jongoo
Inama kidogo shika magoti
Nimesimama kama ngongoti
Mtoto jojo sio roboti
Chumbani bingili bingili sambasoti
Unanitekenyaga ukinyonga salome
Unanitekenyaga ukinyonga
Unatikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha!
Hoera makulu vane, hoera ngambe
Hoera na Zari, hoera ngambe
Utamu kolea aprokoto
Ting’ari ting’ari ndani kwa moto
Nitamnyongea msokoto
Niteme sumu kali kama kobokoo
Eeeh Mapenzi yananipa shida
Shida maama ni donda lisilokuwa na tiba
Tiba bwana usije baby kanicharanga Kanichambua moyo kama karanga
Mie baby kwenye msambwanda, huwa sienda ngenge ni nganganga.
Unanitekenyaga ukinyonga salome
Unanitekenyaga ukinyonga
Unatikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha!
Hoera makulu vane, hoera ngambe
Hoera na Zari, hoera ngambe
Mie mwenzako nyang’anyang’a
Mie binzari we ndo nyanya
Baby kwangwaru Isimamie kama kangaroo
Ibane kangwaru Babu Juma mpige kwakwaru Kwakwaru kwakwa
Chambua kama karanga sasa
Chambua kama karanga
Ichambue kama karanga
Salome Chambua kama karanga
I say washa washa moto washa
Songa songa ugali songa songa mpaka chini mpaka chini wenye wivu wajinyonge leo wanye wivu wajiinyonge wenye wivu wajinyonge
Salome wenye wivu wajinyonge wenye wivu wajinyonge kweli wanakodoa kodo wanakodoa (macho kodo) (wale kodo) ukinyonga (wanakodoa kodo wanakodoa) ukisonga (wanakodoa kodo wanakodoa)

So, u listened the song, but u want us to read :rolleyes::rolleyes::rolleyes:

5 Likes

“…Inama kidogo shika magoti…Nimesimama kama ngongoti” . I think the whole song is bout sex… I could be wrong. @xuma unaitwa hapa.

1 Like

Crowdsourcing?

“Mtoto jojo sio roboti
Chumbani bingili bingili sambasoti”

yaani sio kifo cha mende kwa bed, ni acrobatics tu…

Aargh, tired of listening to that thing being played everywhere.

Ni kweli ni mdahalo juu ya ngono ijapokuwa kiswahili chao si sanifu kwa vile wamechanganya maneno moja kwa moja kutoka kwa kiingereza na lugha zingine za kwao.

1 Like