Salasya anatoa pesa wapi?

Kwnai Salasya anatoa pesa wapi? From a beggar nowadays anapeana pesa kama njugu every week.

Kwani mshahara wa Mps ni ngapi?

[MEDIA=twitter]1620098968633098242[/MEDIA]

Wash wash

Watu kumi ,thao ?

Kuna kitu hufanyika bunge inaitwa lobbying.

Corporates wanalipa hizo maumbwa to pass bills that favor them and drop those that don’t.

Ukiingia Bunge umekfunga, gifts unapata na michoro unafaa kuskuma na cut yako. Unaeza imagine mca mwenye hata 10k ilikuwa pesa mingi kwake sahii anaingiza close to half a million, sahii ameshazoea pesa

Mpigs have to keep bribing voters coz they don’t do shit. If they were working they wouldn’t need to give people money out of their pockets

Tuko nyuma ya mzito Salasya hadi mwisho … angalao bado anarudi ground na kukula na mraia hata kama ni sumni hapa sumni pale.

Mi nikieza ingia bunge sigwesi peana handouts, mniite stingy na mkitaka pia msinipee term ingine. Naeza tumia tu the funds allocated for constituency development, bursary and such. Kama haitoshi mnaeza pia enda kujitomba na hizo shida zenu, washienzi.

Kunia ulale…thats why we can’t have good things

Kwanza Parliamentary Accounts Commitee has many bribes because ndio wana investigate state agencies etc. so kama wamekupata you have to silence them with bribes