SALAMU KWENDA KWA MAMA MAJALIWA.

Hivi ndivyo mume wako alivyovunja Uchumba wangu na Florah.

Florah wangu umeamua kunisaliti katikati ya uchumba wetu na mtoto niliyeamini kuwa ni mwanangu kuwa si mwanangu naumia sana.

Sikuwahi kudhania kama utaweza kunisaliti, sikuwahi kukutilia mashaka kabisa nilithubutu kukusifia kwa marafiki kuwa nina mchumba muaminifu kwa kipindi chote.

Tulivumiliana na kujaliana kwa kila hali zote na hata kipindi kigumu ulichopitia ni mimi niliyekutafutia kazi TRA ili mambo yetu yaende vizuri ulikuwa mwanamke mwenye vision na mwanamke wa ndoto zangu.

Florah mrembo wangu wa kichaga ulikuwa mwepesi kunisamehe hata kuniomba msamaha kwa makosa niliyofanya mimi. Kumbe ulikuwa unanianda kwenye mapigo makuu kutoka kimapenzi na mtu mzima aliyenizidi kwa kila kitu.

Roho yangu ina niuma sana Florah wangu umeshindwa kulinda uchumba wetu kuwa unatoka kwa siri na Waziri Mkuu na unamuita mume wako kama haitoshi na mtoto umemzalia.

Najuta sana Florah sijui cha kuwaeleza wazazi wangu kwamba shani si mtoto wangu na ni damu ya Waziri Mkuu najiuliza ulianza lini kunisaliti Florah kwa kutoka kimapenzi na huyu mtu…?

Florah nipo naye kwenye mahusiano huu ni Mwaka wa 5 sasa nimekaa naye kwa kipindi chote hicho sijawahi kuona ubaya wake najivunia mazuri mengi kutoka kwake ila nimevuna usaliti wake.

Florah ungeweza kuniua huku unanitazama usoni, nimeona nisikae kimya bora niyaseme hadharani tu maumivu uliyonipatia ni makubwa mno, najua siwezi kukuzuia ukate mawasiliano nae. Mnapendana sana najua hilo hamuwezi kuachana leo au kesho naumia nikikuona hata kusikia jina lako.

Umeamua kumzawadia Penzi Sawa na ukampatia zawadi ya mwanangu shani cha kusikitisha zaidi ni Juzi tumetoka kumalizia mipango yetu ya harusi.

Nimechanganyikiwa sina option kwenye haya, nimeogopa kulifikisha nyumbani maana hii ni fedheha, Marafiki niliowatambia kwa tabia zako njema watanicheka ujinga Florah.

Sina kimbilio kwenye hili Flora labda kifo tu. Mwambieni Waziri Mkuu namchukia na yeye ana watoto yatawakuta haya uliyonifanyia mimi leo.

Najua hawastahili haya maumivu ipo siku watayapitia, Asante Florah Mushi kwa kuniumiza.

Heri Shija.

Oneitis tamaliza wewe

Mzae put a summary or I’ll use google translate. This Swahili of Bukoba hurts the eyes.

Muikamba mujinga kama @chap hakufanya dna

Niaje Miritikende