Salaam Aleikum

Bei ya mkulima mdogo

Mafuta inapanda au itashuka mdau?

Ile kamati ya roho chafu bado iko?.

Fill up your tanks today…
Petrol +11 Kshs.
Diesel +15 Kshs.
Kerosene +1.5 Kshs.
Petroleum Development Levy is Kshs. 5 up.
Thank me later.

Ngai mwazani.
Watu ya diesel tunamaliswo kiuchumi.

sasa nini hii shait

Kiongos, SGR haijafita kazi?

You were not off

Admin pitia hapa, hebu twambie vijana wa standard eight @hakimoto na @Meria Mata wanawezaje kuwa na rank ya Elder Statesman kabla mimi na wao huingia hapa wakati wa holiday. Miaka yote naitwa Elder, hadi lini maze? #JusticeForMchezaji

Hapa lazima tu resist

Aluta continua #JusticeForMchezaji

nikijenga foundation ulikua wapi?

Foundation ipi bana? labda telegram channel na kijiji cha upinzani ulianzisha kikafeli.
Hizo Tabia za Muthamaki kurecognize Agwambo bada ya kujichampisha Uhuru park na kuruka kijana wake wa mkono Sugoiman, Admin mmwambie aziache. #JusticeForMchezaji

Chungulia huku from time to time.

we are one
no matter what

hapo umezungumuza kama mwanaume wa mana, hongera.

Asalam aleikum, aleikum Salam, Kuna wenye wivu, utoto na balaa,
wakileta shida watabaki kuwajivu,
MGTOW watabaki kuwa mang’aa
Matapaka in building, sema brrrttthhjjk, ayuyuuuu…Leo na mwaga ntaaaaaaaani, hehe

Mbele iko sawa

Hii increase imeharibu maneno

Wacha chocha, unless unachungulianga watu kwa choo, paka shume,hehe