Sakaja selected to be a WEF shill..if you know you know (Nabii ameuza nchi)

Mtaimba sana, Nabii has sold the country

[MEDIA=twitter]1636294083516801025[/MEDIA]

Hii Ni Ile ya mjamaa husema " you will own nothing and be happy" ?

Sakaja Hafai. Ata ivo, mzungu, after kufanya research yake ameona mafala wengi wa Nairobi, na Kenya, wenye ndio target yake, wako nyuma ya Sakaja. Sasa watamtumia sakaja kufikia nyinyi

So u agree with @Ndindu Kenya has full of bonobos

wakenya wana akili, lakini wao huogopa kufikiria

Going through your posts.natafuta phrase flani ulitumia sana to promote such leaders wenye hawafikirii.

Hapo sasa. Kumbe unajua hii maneno

Yes. Because everything will be subscription service.

[MEDIA=twitter]1636299944578433027[/MEDIA]

Soon (by 2027) utasikia Sakaja anasifiwa na kusukumwa zaidi kama presidential candidate. Labda hata ataanza na kuwa running mate wa nabii.

For the love of God

This is extremely bad news

Kufikiria inaumiza akili yao