Sakaja Playing Defence

https://twitter.com/i/status/1756727949884019106

Siamini I voted for him. Mbona nilipoteza time kupigia hii mutu kura. Heri ningetulia and enjoy a movie kejani. Nilale niamke nirudi nilale. Sasa nini nilichagua? And Oh nilichagua pia sonko…nisamehewe jameni!!

Jamaa ya sugoi must go.

Aki You are so Hilarious…

1 Like