SAIDIENI

Wapi naeza badilisha nairas to Ksh na mtu asiniambie ati niende Nigeria,asandeni wakubwa.

City Market wako

Rates zao ni mbaya 60000 nairas wanataka kunipea 8k!

2 Likes

ungeambia huyo oga ulikamata na drugs akupatie in dorras omwami. sasa unatusumbua tukikula truffles brought in straight from Italy

18 Likes

uliexpect ngapi? Next time usikubali wash wash wakuhonge na pesa hujui…

@Ice_Cube you stole my thoughts…

5 Likes

Next time sitawahi rudia hilo kosa@ okiya kuja saidia .

1 Like

chukua na utoke mbio! [ATTACH=full]40923[/ATTACH]

2 Likes

Then try hapo Rehema Hse ground floor kwa corrido kuna Forex ya Bea…ya ma woria opposite a computers shop

vile umeambiwa chukua hiyo 8k na ukimbie mbio sana

[ATTACH=full]40924[/ATTACH]

1 Like

Fixed 60000 nairas and was expecting 30k.

1 Like

forex za tao don’t have good rates, enda westy hapo empress plaza opposite the oval kuna forex inaitwa alpha

1 Like

Directions za rehema hs

Banks zimekataa mambo ya nairas.

hio mulika mwizi yako haina ‘Maps’ afande??

1 Like

sasa ni kutafuta mkenya anaenda safari Naija mchape deal, lakini juu ya hiyo story the most unaweza expect ni 25k

2 Likes

Wana kubali nairas?

Kimathi Street, opposite New Stanley hoyel and behind Ebrahims Electronics

Rehema hs ni mingi ,kuna yenye iko raphta rd huku kile na ya Tao.

Wana deal na nairas?

But do I say!!! Isorait pia huku kayole iko!!

1 Like