Saidieni wakubwa

My cousin here has a sony Z5 with a cracked digitizer glass (screen). the LCD isnt cracked but the thing doesnt respond to touch at all. Where in town does one get replacement digitizer glass? or where can one buy the glass? I can do replacement for him. how much does he expect to cough. he is a bit stranded. the phone cant respond to anything. ata call ni kuangalia tu.

Aangalie tu itakuwa sawa

On your left Down luthuli av just before the junction with River road kuna a shop with screen replacement accessories.

Ukishindwa na hio hapo kwa stage ya Kenya Mpya kuna a building with basement shops. Ground floor kuna a shop ya screens

Bro huko ni ngeta tupu unaelekezwa thank me later

Huko atapata screen bei poa.

Kama sio hivyo enda pale krishna international along kijabe street. Kamata link

Redirecting...

Wewe ni mtu wa ngeta nimekusense, hakuna jina ya shop unampatia ni black spot mahali utamteki vizuri.

Am helping him na unasema ni ngeta.

Btw Krishna Intl ni authorised Sony dealers.

@Rene Descartes proceed to the their shop along kijabe street though they are expensive.

I replaced xperia z with 4k

Sikia tena kijabe street, ile ngeta inakongoja @Rene Descartes wacha tu

Hehe wazito ahsanteni sana. Hii phone glass na lcd zimeshikana huwezi ununua seperate. Nimepata nikaweka lakini colour ziko faded kiasi adjustment ya whites inasaidia kutoa some brownish green tint. Nimepta na 5k. Hakuna vile screen ya 442ppi ya 5.2 inches inaeza kuwa elfu tano na ikuwe original. Inakaa clone kiasi. Sony siku hizi wako na umeffi mob.

kama hujui place nyamaza tu. I know that place and the best phone fundis in this town are found there and so many.

I too know that place I believe no Sky Mall,…hapo kwa entrance ya side ya Luthuli Ave kuna corridor iko na majamaa was screen repairs,…

Hata ile nliwekewa happ kijabe street na wahindi ni fake tuu kama ile ya luthuli