So mimi huyo today am in my best behaviour nimeingia home mapema nikapata bibi ametulia amekaa pale kando mahug sijui ooh love ohhh babe nikasema sawa nikakaa na kuanza kuwatch news sijui ooohhh some stupid ward election in Nyakemincha . kidogo kidogo nimetulia na bibi tunapiga story clichy ako juu ya psvita polepole Pires ako nje anacheza na Sanchez . all of a sudden a loud scream from the seat , mtoi amelia yake yote , ule amezaliwa juzi . bibi akaruka na kubeba mtoi ana yelp in pain kuangalia vizuri ni mosquitoe imeuma mtoi .
Usaidizi wangu ni is it just my house ndio mosquito zime raid of late from last month ama kila mtu iko hivi kwake na dawa ya mbu ni nini hizi doom ni useless na an infant ako kwa hao . ahsandeni . wacha ningoje game ya Mancity kwa nyumba nimecatch feelings .
tafuta dawa inaitwa ICON CS 100, kwa agrovet, you need to spray on the walls, and curtains. mambo ya mbu, inzi, mende kunguni will be a thing of the past.
hii yote inaletwa ni uchafu wa mazingira…licha ya hayo yote guu moja guu pili amsha tako,nyakuwa slasher na kijiti ukafungue mitaro nyuma ya nyumba…chieth
Ujeru hakuna mbu… but nikiwa Kenya tulikuwa tunatumia zile electric mosquito repellents. Alafu kuna satchets zile hazina harufu mbaya. Mosquito zitaepa zote
ooooh manze it’s the new style of typing …kufupisha words. tunatumia phones u know<----hio ingekuwa----> oo mnze ts d nu styl of typin…kufupsha wadz. tnatmia fones u kno