saidieni:reflective stickers

Wazito, hawayuni!!!
Natafuta hii kitu… nitapata wapi na kwa bei gani inapatikana?.. inazungushiwa malori kando kando ya body… mbisha ndio hio:

Ingia any nakumatt branch utapata.

Unataka za yellow, red ama yellow na red ama luminous green? Enda Inda Dar es salaam road you will be spoilt for choices.

Mbisha ndio hii:

Thanks a million!.. I pray kataivana!!

Why don’t you go to the manufacturer direct? 3M car technologies wako Heidelberg Plaza, near Bellevue, Mombasa Rd

2 Likes

OTE=“vuja de, post: 351856, member: 286”]Why don’t you go to the manufacturer direct? 3M car technologies wako Heidelberg Plaza, near Bellevue, Mombasa Rd
[/QUOTE]
… senk youuuu!!! @ vuja de

Eda pale East London