Saidieni Mnigga

Oya, IDM imeleta kichwa. Niliokota pale torrents. Inaleta iyo umeffi mnaona hapo chini.

[ATTACH=full]149723[/ATTACH]
Nimejaribu kutibu iyo ugonjwa but nmeshindwa. Nmeuninstall, nkadownload fresh copy, nkafuata maagizo, bado iyo umeffi iko tu. Nmejaribu different sites. Trial period yangu ilipita kitamboooooo, siwezi jisumbua kuendea from the official website. Credit cards and umeffi siwezani nayo.
Sasa nlikua nauliza wisemen of the village if there is another application that can perform exactly the same way as IDM, if not better, niambiwe. Sandeni sana.
First post of the year so Happy New Year y’all.

I normally just ignore the error and continue downloading. It never stops working because of the error

3 Likes

acha nijaribu nione

imedinda

Enda utafute newer cracked version.

Na ile siku utaacha kuwa peasant ununue software na uheshimu kazi ya wenyewe

6 Likes

Sawa mzae, peasant pia tumezoea kuitwa, kinda of compliment

itabidi umefuta hadi kwa registry ndio uinstall afresh

1 Like

ndo naona, nimegundua ata baada ya kuuinstall bado folder inabaki kwa Program Files

1.Uninstall Idm completely + file yake kwa program files.
2.Enda kwa registry ya Windows β†’ press Windows key+r for alafu type regedit.exe kwa input box ya hio application
3.Click on HKEY_CURRENT_USER and select Software from drop down,search for idm and right click then select delete.
4.Ukishadelete restart comp and install your idm application afresh.

4 Likes

Am on it

[ATTACH=full]149732[/ATTACH]
Imebidi hii nimebookmark sande mkubwa :slight_smile:

2 Likes

process 4 ya @Scorp fanya ukidisable internet

success!!![ATTACH=full]149733[/ATTACH]

5 Likes

Kuna wenye wananunua and they make profits. Sisi wa cracked softwares rarely affect their sales, na si ati tunapunguza utamu wa software.
All my softwares are from torrents. Siko proud but im never ever regretting

ikizidi
disable net
uweke iyo cracked key
alafu enable net tena