Alternatively kama uko na kichaka away from residential places and public roads, preferably huko mashinani with a small water body nearby, get youself 4 modern-day beehive like a langstroth, place it somewhere in that kichaka then plant some more flowering trees/herbs with medicinal properties.
Bees will be happy when the plants are in their full bloom. At the end of each year, you will never lack 40 kgs of pure honey, fortified with natural herbal extracts.
Ukilamba 2 spoons daily, hii magonjwa ndogo ndogo ya aibu kama homa itakuwa historia.
Mtito ni kwa wezi,nilibuy tyre mupya,plastic wrap,manufacturers stickers you name it, after kurarukiwa na moja only kufika coast napata in retread…i’ll be honest though,best retread nimewahi kuona
You do know how to do kienyeji test though not accurate,for honey right?
Tafuta haka kakitu to test for moisture content,from Whizz Kenya.
[ATTACH=full]394817[/ATTACH]
Most honey sellers know it and if they are selling fake honey they will not sell it to you ukiitoa
Trust me asali safi ni Ile inotoka na huko marigat.Hata ukitaka unapata unprocessed kama unajua kukamua mwenyewe … just have to time when they are harvesting it.
E/Ravine doesn’t really produce honey … huko ni kama highlands … pengine mogotio constituency. Good honey come from those dry area ndo kuna miti ziko na flowers zenye hizo bee’s upenda.
Hiyo asali huuzwa na hawkers hapo mombasa rd ni genuine? Wanasemanga ni asali ya jangwani. Sijui kutofautisha asali genuine na fake for so sure najua hizo za supermarket ni meffi