Saidieni.mimi to get natural honey

I have been buying ile asali ya kupimwa pale Naivas au Quickmatt.I have always felt iko adulterated coz of crystal like substancea i normally find at bottom.of the package can asali ikiisha.
Until last Friday when one of the attendants ambaye ni beste namna hii, confirmed my doubt.Some kind of syrup is added to the original honey,I guess kuongeza quantity.
I also learnt kuna ingine ata sio ya kutoka kwa nyukiii but they don’t stock it,I didn’t know a mixture of bananas plus other substances can make honey.
Sasa ni wapi mtu anaweza pata asali clean straight from the beehive?
Leteni leads.
Halafu kwani asali ya Njoree(sijui jina yake ya kingereza) huwa haipatikani siku hizi.That mdudu’s honey was so sweet

You are very right. Ingia jalopy,drive hadi past machakos,huko hautakosa asali safi

Hii biashara ya asali Iko na ukora sana. I always feel za supermarket ni fake

Hao wakamba washajanjaruka kitambo. Nilibuy kadhaa pale Mtito Andei, Mombasa road, turned out to be fake

Ata hao wanafanya hivyo halafu wanawekelea KaNyuki juu ya asali ufikiri iko gangari kuumbe

:D:D:D:D:D

Asali yyote iko kwa chupa ya glass na funiko ya mabati ni natural

Go to mombasa rd. Just after vision plaza kuna company inaitwa the Hive. They sell beekeeping equipment and of course unadulterated honey.

Ata ile iko kwa combs wakonayo.

Most Tugen traders in Baringo sell genuine honey.
Two quick tests:-

  1. Dip a stick in the honey and pull it out gently, if you observe a continuous thin film of honey sliding back then it’s pure. If you notice its broken ( drops like) jua umechezwa.

  2. If packed in a bottle, turn it upside down, the bubble at the bottle neck should move polepooole upwards.

Lab test is not practical on a roadside purchase. If you want bulk, i can be of assistance anonymously.

The only unadulterated honey ni Ile iko kwa combs. Hio ingine ni kucheswo.

There’s somebody I know who sells pure honey pale Ngong road. Unfortunately huwa hana all the time

Wacha kunyonga gaaaay porn na honey

Confirm your location. I can get for you pure honey lakini zile matusi napata hii kijini on the daily I don’t feel motivated. The most I can offer ni address/contact

Kenya sahii kupata pure honey ni kama kupata dem vajo wa over 21 years. It’s a herculean task.

@poyoloko’s wife claims she is still a virgin. Yeye hutombwer tu mattercore. So she is a hoe at the back and a virgin at the front.

si uziweke hizo.contacts hapa basi.na usonge ukiendaga

This will suffice.

they put sukari nguru

Tafuta mahali kuna n.g.o za kusiadia wananchi kwa ukulima.
To help diversify local incomes and improve quality of local produce wanaleta ma crossbreed livestock and bee keeping.
Huku kwetu wasee waliweka a few hives in a local forest…pure honey my friend from the hive to the table.
Halafu ukipata wasee wame zubaa…kuwa broker wa asali.
Hizo hive zinasaidia pia kuhifadhi forests coz guys dont chop down trees for firewood miti zimeongezeka we are getting more and more rain every 3 4 years.