Wanakijiji wenzangu naulisako hifi ni wapi naeza pata VGA to RCA cable, nko na tv na haina port ya kuconnect vga cable direct kutoka kwa comp…
Saidienie, naeza pata wapi na ni how much.
Asanteni sana, welcome

@snapdragon @Electronics4u kujeni hapa.
OLX ---- 500 bob
[ATTACH=full]14711[/ATTACH]
Asandeni sana…
Lakini nlikuwa natafta any place naeza ipata huku mombasa,… OLX location Mombasa hawajui kitu kama vga/rca cable
ask your friend in nairobi to buy it and send it by post, akinunua leo you will have it on monday
Dont u yave anyone who can buy it for u in nrb and send it to u
Ikitumwa leo by kesho morning its here
Tell them to use modern coast courier
Jambo jet cargo 45 minutes
Meanwhile…
[ATTACH=full]14715[/ATTACH]
Can this cable work without a converter box?