Where can I get such wheelcaps. Yangu moja ilichomoka kwa Barabar [ATTACH=full]363636[/ATTACH]nikirudi jana from ocha.
Tembea Kirinyaga Rd
Equity ngara…
Wakamba South B na Nairobi West
Bona uende ocha?
Nilipata, ocha is where my roots are.
Kabisaa
Watu wa Toyota mtuwache. Hizi vitu zimejaa kila mahali mpaka kwa mapipa ya takataka.