Wakubwa, nimebuy phone ingine nkarudi mashambani. Hakuna haja mjue jina coz ntaitwa peasant. Shida ni haiaccess 3G yet nko area covered in 3G, in fact phone yenye natumianga normally inaaccess 3G using the same Sim card. Nkitoa hii Sim card nweke kwa phone hiyo 3G inakataa. Shida iko wapi? Sandesana
Mahali ulinunua 3g works
They didn’t pack the 3G with the phone when you bought it.
The thieving scoundrels!
Do ivi
Settings >networks>more networks >preferred network type> 3G only.
Alafu restart phone ichangamke
NI SISI TULIKWAMBIA UNUNUE HIYO SIMU??
[ATTACH=full]88357[/ATTACH]
mbisha ya…
Niliorder from Avechi, nkakam kufungua phone home
Fanya vile @washing powder amesema
That was the first thing I did, but sadly…
Kama ni dual SIM u shud knw u can’t use 3G on both simcards at the same time.so u have to specify one simcard with 3G under SIM management
hapo yote nmepitia
ni simu gani kwanza?
Inajiita X-TIGI R9
Hii kitu inanibore to no end.
Seriously???
Of all the brands uliona XTIGI!!!
eeeh, izi brands mnazichukia ndo nazisample, nataka nijue ni sababu gani @Koolibah anazipenda
Kama ushawahi jaribu Oppo tuambie iko aje.
of all the phones I’ve used, that’s Cubot, Infinix, XTIGI, Oppo, Samsung n Lenovo, yenye napenda kabisa ni OPPO na Cubot
Hata ungeendea the tried and proven tecno/infinix
I am among those who tried n proved those, wacha tutry na tuprove xtigi. Enough of the hullabaloo, find me a solution on how I can get back to 3G, by the way, niliorder phones mbili, xtigi R9 na Tecno W3, zote zimekataa kuaccess 3G, but Cubot iko fiti, sasa nmecreate hotspot from Cubot ndo tunatumia me n my friend, but I think the problem isn’t with the device or Sim card, it has to be some settings, chokora archives yako uone kama utapata solution