Antoinc254:
ignore the typos fellas, so apparently ameringa ata kutuma picha ya the toi…mimi i bomoanad hio siku tukatokana mara mwisho before it took a total toll on me nkamlipa 400…sikumbuki mahali nikikaambia kanizalie…sahii ananighost akiuliza tu kaa ntalea katoi aniletee ama nimwendee…that’s where I’m stuck villagers
Kijana uko na upussy mob sana…alikuekea mchele,akakuibia pesa alaf sahii anakushow ako na mtoi wako…unakulanga mavi?? Acha ujinga nani…mwambie huna haja na mtoi.
Dooh zenye alikuiibia ajilee nayo…watcha unganuthia
Antoinc254:
Soo kuna siku nmeenda kutoa lock asubuhi Aston villa, mimi nayee nikaacha drink(keg) unattended, kurudi kuna lanye alikuwa ako hapo kando akichonga jaba…tkakaa kidogo akaanza kusmile nkamsongea…kidogo tkaelewana, mi nayee ni nani, kufika pale nikaa njaa ilikuwa kubwa, dryfry manenoz, akasuggest twende kwingine, sikumbuki nkitoka hapo hadi club ingine iko na rooms, tkabuy pombe, tkaenda kwa room, nliamka 5pm uchi kwa room, bila simu, id, na wallet… nliibwa 11k wakafuliza, kutoa statement nkapata namba ilikitumia dooh… ukawa mteja , nkaripoti Station. kesho… after kitu 1month napata call from that number akiuliza kaa namkumbuka, akatuma picha nkakumbuka surankilewa b4 niibiwe, after masiku akaanza kuniambia ati ioe siku tulilimana kavuu nikama ako na bol… My friend last week ananiambia amezaa kakijana on 3rd Feb…hapo ndo akili yangu imesimamia.ananiambia sahii nimtumie pesa za pampers…nifanyaje wadau situeshen kaa hii??
Kama alikuwekea mchele halafu mkakulana that was RAPE…she raped you and got pregnant. Chukua mtoto wato, mama yake aende Langata Prison
vixi
April 13, 2023, 9:04am
25
Antoinc254:
Soo kuna siku nmeenda kutoa lock asubuhi Aston villa, mimi nayee nikaacha drink(keg) unattended, kurudi kuna lanye alikuwa ako hapo kando akichonga jaba…tkakaa kidogo akaanza kusmile nkamsongea…kidogo tkaelewana, mi nayee ni nani, kufika pale nikaa njaa ilikuwa kubwa, dryfry manenoz, akasuggest twende kwingine, sikumbuki nkitoka hapo hadi club ingine iko na rooms, tkabuy pombe, tkaenda kwa room, nliamka 5pm uchi kwa room, bila simu, id, na wallet… nliibwa 11k wakafuliza, kutoa statement nkapata namba ilikitumia dooh… ukawa mteja , nkaripoti Station. kesho… after kitu 1month napata call from that number akiuliza kaa namkumbuka, akatuma picha nkakumbuka surankilewa b4 niibiwe, after masiku akaanza kuniambia ati ioe siku tulilimana kavuu nikama ako na bol… My friend last week ananiambia amezaa kakijana on 3rd Feb…hapo ndo akili yangu imesimamia.ananiambia sahii nimtumie pesa za pampers…nifanyaje wadau situeshen kaa hii??
Aingie Forithi Station for spiking your drink.
Juzi the elders said I’m a simp…sasa Leo ndio nimepata kujua I’m not
After kukuibia,you reported which is fine.
Now what surprises me is ingawa unataka vitu zako, even after getting her number you still talk to her and chat up
Kwani nini mbaya na wewe? Mtu anakuibia na Bado u comfortable kuchat na yeye hadi ifike. Point wewe ndio unatishiwa …