Safu mpya

Rais Mpya wa TEC ni Mhashamu Askofu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga - Jimbo la Mpanda
Makamu wa Rais ni Mhashamu Askofu Flavian Kasalla - Jimbo la Geita
Katibu Mkuu ni Fr. Charles Kisima - Jimbo la Singida

Asante sana kwa taarifa

Katibu mkuu ni Charles Kisima au Charles Kitima?

Sawa sawa

Asante kwa taarifa

Wale wa siasa majitaka waje watuonyeshe wachaga hapo.

Ma-ccm yatasema wote hao ni wachaga.

Pengo vip yupo bench ama

Huyu akafie mbali , naimani jiwe limekasirika huko.

Hii inaitwa usiyempenda kaja (Ruwaichi)

Hata mimi nataka kujua kama Charles Kitima au Charles Kisima

[FONT=courier new]Ndani ya TEC hakuna Kiumbe mwenye jina la Charles Kisima bali kuna Fr. Dr. Charles Kitima ambaye sasa ndiye ’ in charge ’ wa SAUT ’ School of Graduate Studies ’ Msimbazi Center Ilala mkabala na Kanisa lao Katoliki. [/FONT]

Wakuu hivi pengo amestaafishwa na Vatcan auuuu!??

Kwa hiyo Dr Kitima wa SAUT anaingiaje TEC? Unaijua TEC? Acha kupotosha!!

Unajua lakini Kirefu cha TEC? Tuanzie hapa Kwanza tafadhali.

Pongezi kwa uongozi mpya wa TEC…

Ila furaha yangu kubwa ni kustaafu kwa Kardinali Pengo itakapofika katikati ya Mwakani…
Na kuingia kwa Bishop Yuda Thadeus Ruwa’ichi…

Pengo kalivuruga sana Kanisa Katoliki Tanzania kwa misimamo yake inayokuwa inapingana mara kwa mara na maamuzi ya TEC…

Na aende tu kwakweli.

[FONT=tahoma]Heko kwa safu mpya Fr. Kitima kila anapowekwa anaitendea haki nafasi yake amefanya mengi sana kwa SAUT Mwanza akiwa ndo mkuu wa chuo na hata sasa alipo ‘school of graduate studies’[/FONT]

Najua zaidi ya kirefu cha TEC, acha kupotosha kuwa Dk Kitima wa SAUT yumo kwenye hilo Baraza…acha kabisa!

[FONT=courier new]Wewe ’ Pimbi ’ na ’ Kolo ’ nimekuuliza unajua Kirefu cha TEC? Nilitaka uniandikie chote kisha ndipo turudi katika haya mengineyo yako.[/FONT]

Utakuwa una laana wewe mbwa koko! Kirefu cha TEC nimekijua tangu uko kiunoni mwa aliyekuzaa fala wewe…

sawa