Weekend nitembea kangema Muranga, nikaona bar inaitwa safina Joy, nikasema niingie ni test waters, hapo nlipatana tu na chege, kamau, Njoroge na mbugua. Wote wako na gumboots na wameshika kaquater ya kibao, nikasikia hapo ndio wanasema, wako na bonuthi ya majani…waitherero naye ndiye waiteress, ameweka Sura mawe hacheki na mtu…I miss to go back to Muranga:D:D.
So you miss going back to bar ya wanaume? Gaaay
Ghaseer, gaay ni wewe…hatuendi Kwa club kutombana kila time…
Sometimes we go to the bar for banter.
Mimi huwa sikunywi pombe lakini when am free na kuna game, I go to the club, buy a delmonte, sit mahali kuna watu sijui and by the time mechi imeisha we are already friends.
true, sometimes you need to explore other places, si kukaa Nairobi tu ukifikiria mambo ya mattercore.
S3x is overated