safely in Naivasha.thank to a drunkard

I left Nairobi at 8am, and got stuck around red hill dam…a dude who smelled like keroche breweries offered to help me, nikakataa, he left me there at around 8.45, I learned through social media that Ngilu was the proximate cause…nikaamua kulala…sema jamaa kuniamsha kitu 11 nikiwa nimepark kando ya barabara…this time round,he had a lady…they showed me chochoro flani ,nikijipata kimende…sema kuwandunga 700, jamaa 500 na dame 200… Haki they almost hugged me. Saa hizi niko naivasha nikikula nyama ya swala.

Thermal imagery hata ya chochoro ama swala Elder?

Mpaka nyama uli-upgrade from ya punda to swala? Kweli life is good bwana regional manager.

Najua tu watu hula swara…swala lilipata nyama lini??

unakula nyama ya prayer kwanini

wewe ni swala tu

Swala ya hii post haileweki.

Swala nyeti ni “je swala hupatikana katika vitongoji vipi”?

Swala lilompata swara ilibidi amefaint

Isorait…
Kula yote.
[ATTACH=full]159708[/ATTACH]

Uliosha tarimbo ndio ukalipa soo mbili eh? Jamaa ndio alikua lookout ndio ukamdunga punch, sio?

introvert does it again…hehe

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Hahahaha… Ng’ombe hizi msilete matusi…let me update you…

Leo wakikuyu wa kamirithu,kwambira, and Kamandura wameandamana juu ya ngilu na njangili zake

:D:D:D:D:D nyama ya QUESTION ama PRAYER ?

:D:D:D:D

Walevi wanakuanga na roho safi kabisa.

Kuna mlevi alinipa spare wheel pale makuyu usiku ,had two punctures, coutersy of highway robbery. Walevi ni watu poa . He blocked the highway until we changed two wheels

My man!!!

Am in my most sober state (very helpful, very humane, very respectful, very generous, very reasonable, very philosophical) when am 50%-99% drunk :D:D:D. I think most walevis fall into this category.