So today i receive a message ya mpesa received from Safricom shares. Kumbe ata nilisahau nikonashares huko. Tidy sum.
As a shareholder pale safaricon this month wamerusha dividend kwa mpesa , nmezoea a check in the mail.
This time wamesema mutu akulie kwa simu.
Kueni na siku njema