Safaricom 5GB Data from Midnight to 6 a.m
[ATTACH=full]390867[/ATTACH]
Ii kitu imekua around for a minute now but I don’t care at all coz Telkom takes hood care of me I don’t even need that. 120GB at a measly 1500.
Wasito wa unlimited wifi hatutambui hizi offer za kipuzi za bundles coz hazitusaidii. Leo nimebuy 333 minutes za Telkom at 500 bob, valid for 45 days. That’s the equivalent of sh. 1.50 per minute to any network. Safaricom ni ya mpesa pekee.
Safcon can go suck a diiik.
Shida ya telkom iko na the worst network ever. Specializing in urban areas only.
Hata ukiwa urban areas lakini uko kwa enclosed space kama toilet ama store, network onge! Unaona video kama slideshow ya photos
Network ya Safaricom iko gangari and worth every penny juu it works every where at full speed. Unaweza ona xvideos in HD ukiwa mfangano island mpaka upige nduthi na umalizie facial kwa hippos
Data offers for use between midnight and sunrise is meant for witches, not normal people.
fuckkk safaricom we pledge our allegiance to Telkom
I’ve liked this comment at 02.03 a.m
Telekom all the way… io kiburi ya safari’s is slowly catching up with them.
Pesa ya bundle pia ni ya kulalamika
Safcon is loosing it in bundles. Wabaki tu na mpesa.Siku hizi wananitumia promotional messages za bundles za upuzi. Eti 1GB for one hour for 20 bob, mara 1GB for 3hours at 50bob. Wakwende wakikauka.
They used to give 1gb free data on my birthday. Tangu ni hamie telkom and showed them the middle finger while topping Telkom using mpesa.
Siku hizi hata huwa hawa ni wish happy birthday.
Wasenge hao.
Safaricon you cannot use Torrents!
Wadau how is Safaricom PostPay ya 1K?
I think I might wanna get that. Airtel network Is meffi in my location.Or is it for the kind of work am doing?
They’ve totally lost the plot. Hapo ni mpesa tu.
Kunatime nilisota vibaya sana after kuchujwa job.Nilikuwa na telkom as my primary simcard.Credo ikiisha nilikua naweza kukopa once.Bundles pia ziko fiti.But i discovered that safcom iko na free whatsapp,na naeza kopa mara tatu even before paying the previous debts.Halafu hio ku calculate minutes za telkom to about ksh1.5perminute naona ikiwa same tu na safcom coz safcom give you 50% bonus on airtime top up then you call 2bob per minute.I also like the very wide variety of bundles zenye ziko kwa ussd menu ya safcom eg data with expiry,data without expiry,hybrid offers za data plus sms plus minutes for calling,the best ni ile unatype how much money you want to spend and the system gives you a calcutaion of the data sms and minutes that you are going to get which quite good for a customer not happy with what is on offer on the menu.USSD menu ya Telkomiko flat.
safcom have invested well in customer experience with notifications of balance popping up everytime you terminate a voice or data session.Za telkom hakuna,ama zinatokea ukishameza bundles.Then safcom data ikiisha kuna pop up ya ku top up inatokea immediately including option ya kukopa kama huna doh.Telkom ukiishiwa na credo data na ma sms hakunanga option ingine.Kwanza ole wako kama umesota na ushakopa credo.Ukiangukia soh mbili unapiga hesabu ya kutopup unaona hapana.Usoto ilini fanya nika appreciate safcom sana.Sikuizi line ya telkom naekanga kwa pocket wifi router.Safcom ndio kusema kwa simu.
Pocket wifi router ni gani @Agwambo
ndio nilikuwa nashangaa , telkom kitu inadownload within minutes safcom takes hours
Kila nyani na starehe zake. Kitu nitabaki kusema ni, safcon bundle and offers are way too unrealistic. What can you enjoy in youtube with bundles below 1GB within an hour? Units, wrong, duration, wrong. If wangeeweka tu hata ile 1GB ya 20bob for three hours plus hapa watatoa kina Telkom kwa uwanja mapema
True. Kila nyani na starehe yake. For me hio tu customer experience ndio kila kitu. If am in a position not to top up naeza kopa 500bob airtime Mara Tatu in saf, halafu constantly naambia balance as soon as nimekata simu. Halafu hata nikose credo aje, am always connected online with saf.
Kuna customer experience ukipewa huwezi hama. Nikama kudinya Malaya anakaa Malaika pale riverrodi. She doesn’t do nadda apart from kupanua mguu ukule for only 500 bob. Then unaishia unawait for next time yenye utammiss na u steady. Across town pale hurlingham Kuna mwingine kama huyo, for only 2k anaku suck deek na Ana massage balz na anakuosha sehem nyetz na towel moto ukishamwaga, halafu unaamsha ready for round two. Kama huna pesa enough anakushow Kuja tu umkule coz anajua wewe ni regular. Will go to hurlingham hoe everydamn time.