SAFARICOM

http://www.trending.co.ke/wp-content/uploads/2016/12/safcom1-248x300.png http://www.trending.co.ke/wp-content/uploads/2016/12/safcom10-1-300x300.jpg

hii tuliona kitaambo…meffi

1 Like

tuliona when Marco Polo was on his way to China…

6 Likes

I say tuliona when Harry Thuku was elected to LegCo

8 Likes

Niliona after Moses amepatiwa 10 commandments

2 Likes

Niliona vile Arts & Crafts bado ilikuwa KCPE, na Tusker ilikuwa 60KES.

That is 1921…

1 Like

Wewe uliona hio time but actually ilikuwa imepostiwa when Johannes Gutenberg made the printing press.

Sikuona kitambo lakini ilikuwa wakati ukinunua TV,radio ama baiskeli unalipia permit kila mwaka

3 Likes

Tulikuwa tumeona by the time Christopher Columbus set sail to discover America.

Noma sana, Long Live Ktalk, God Bless Ktalk, na tutaendelea kuziona mpaka 3030

1 Like

Not 1921 bana…

You guys are mean.

hii tuliona kabla ile monkey ya kenya power izaliwe