SAFARICOM WAPELEKE WIZI ETHIOPIA

Wacha niwagangie chenye kimenifanyikia leo nikichukua TIEMS.
I was at some driving school registering for TIEMS but there was a network problem with her phone (the instructor), so akaniuliza kama nikona bundles atumie my phone. Alikuwa dame na rangi ya thao nikaona siwezi sema sina bundles za coins, mimi huyo haraka haraka *544#. Fellow hustlers wanajua kuna options mbili kwa 5441,5442 and 5443, (data deals). 25bob for 300mb na 30bob for 1 hr. I don’t use saf bundles alot coz najua ni WIZI na I have unlimited WiFi both at the office and at home. Nikabuy the one for 25bob nikijua sitatoka bila number ya instructor leo for private lessons. Message ya Mpesa unarudi “XXXOOOO Confirmed ksh 55 Bob sent to Safaricom Limited…” at the same time mbwakni ananishow network imerudi kwa simu yake anaweza tunaweza endelea tu kwa simu yake.
Double whammy, huku naibiwa coins na watu tushawapatia a billion shillings in profits na mtu nimebuyia bundles hazitaki. If Safaricom hawangekuwa wameniibia hiyo 35bob ya juu hata singekuwa na shida. Hizo mbs nimebuy ningekutumia tu kuona NSFW videos kabla niende kuchokoza intern wa HR nikirudi kwa ofisi. But juu bottom-up hazijaanza bado, hiyo pesa Safaricom lazima wangerudisha.
I call Customer Care immediately nimemalizana na the instructor and for all Safaricom people mnajua Ile maths lazima uchape ndio uonge na agent. Unajaribu equations za 1,4,7/1,2,1/1,5/1,3,2 mpaka upate yenye itaingia mpaka customer care person. Nikapata finally.
Nikaongea na the first lady akaniambia since nimetumia 1mb lazima nitop up hiyo 1mb ndio waweza kureverse. Hapo ndio nikamshow nitakufinya wacha kunishow ufala, sijatumia hata hizo mbs unadai nibuy zingine zenye sitatumia. Akaanza kunishow venye mi ndio sijui kutumia simu na pesa zangu lazima ni mimi ndio niliselect hiyo offer. Nikamshow si mimi, ananishow Mimi ndio fala, nikamshow sina hata hiyo offer ya 55bob Kwa my *544#, akanishow nikonayo juu ye ndio anatumianga line yangu hata kunishinda, nikaona hakuna haja ya kuargue na ng’ombe nikamuambia basi astay on the line nibuy mbs za 5bob na saf app ireplace 1mb nimetumia wanirefund tumalize.
Nikifungua app nacheki notification, call ended.
Mi siwezi wacha pesa ya mutura iende hivo nikapiga customer care tena.
I found a better Meru lady this time tukaskizana vizuri, ye akaniamini si mimi ndio nilibuy na sina hiyo offer ya 55 Bob Kwa menu yangu, akachukua my report aforward to support. Akaniambia nimetumia 0.35 mbs Kwa hizo nimepatiwa but the only way naweza pata refund ni kubuy another “data deal”, i.e. I have to risk getting stolen from again ndio wanirudishie the money they already stole. Naa hii time yote bado sijapata hiyo message ya kuambiwa nimepatiwa mbs, ni customer care tu waniambia nimepatiwa 650mbs. Nikamubia hata kama mi ni mbleina siwezi kuwa mbleina hivo. Akaniambia support will contact me on 2 hours.
Interestingly she told me I’m the 2nd person whose complained about the same issue today. Now imagine all those people who have not complained. Inakaa profits za next year zinaongezeka. Buy shares now mpate dividends za wizi, wasikule pekee yao.

Paragraph

the only way to make money in Kenya is to con, no genuine biz can survive with this govt

Ni story

Too true

I understand people lose money. But hii yote umeandika juu ulibuy bundles ya 25 bob jamaa ama nini? Kwani what are you? @Jimit ???

Principle bro, take care of your coins they will take care of you.

Ubaya hakuna namna tunaeza verify hii risto

*TIMS

TIEMS ni nini omwami… ama ni TIMS

Manze apo kwa combination ya kupata customer care agent ndio nimekufia so true

Pole mdau. The green behemoth will shaft thou till kingdom come

No Mr Mulwa, Dont put people down just because you are the the top earner taking home 530 ksh a day at Patel and sons bakery

Do not quote me. Am not your boyfriend

Apo kwa TIEMS na dame wa rangi ya thao ndo imefanya nishuku ii story ni sorta fabricated. Send us receipts sir!