Safaricom mledger Mpesa app

Guys this app now works… Wale gamblers nilowashow Waangalie records zao za mpesa in/out to betting pay bills Leo mtaacha kubet :D:D:D:D

Kila nyani na starehe yake

Mbona haikua inarudisha authorization text?

they were fixing bugs and they updated very well… This is the best app I have in my phone [ATTACH=full]204132[/ATTACH]

Pesa usio [SIZE=1]betia ya kuwashia nini[/SIZE] ?

Adui yangu si sportpesa. Adui yangu ni safaricom kwa data na airtime. Wah. I spend a lot
Airtel ni bure sana western na telkom. Tukimbilie wapi?

Ledger hufungua mtu macho sana…tena sana. Gambling, wanawake na pombe uki-review unaweza jiuliza maswali mob sana…tena sana.

Jamaa fulani alipata receipt ya bike alikuwa amenunulia mtoto wa singo mother last year na hiyo kitu ilimuuma sana…tena sana. Karibu ampigie huyo mama aiende juu waliwachana.

this app ilinisaida kuacha betting…Nilikuwa nakula nakuliwa soo much fun but when I checked records saw minus 20k kila month