Safaricom Home Fibre FUP

Safaringcom walikuwa serious na hii policy yao, ama zilikuwa kelele za chura? Nimeangukia net ya reseller na amewachilia speed ya upload ka yote. I want to ‘share’ my plex. Sitaki kuingia kwa shimo itakuwa noma kujitoa.

Download ndio ya maana… upload ikinyongwa haina shida.

The cheapest package si ni just 3k.

Kwangu upload ndo ya maana.

Elon musk anacome

Kwani upload ya Safaricom hukuanga throttled?

Ndio maana reseller cartels ndio wanatawala mitaa. JTL ni 25Mbps @ 5k. Cartel anakuwai 5Mbps @ 2k.

Funny enough net ya reseller iko way better kuliko hata ya Saf.

Home Internet is still too expensive… Nikipata ya 10Mbps at 2k or less ndio itamake sense