…hawa mafala nka wananizoea, wananimumunyia credo ki upuzi upuzi tu, sasa hata kama…kusema tu ukweli mbele ya mungu baba, mia mbili nikitu ya kumhepeshea msee ako loyal to them _ uski washakahepesha, wamekuwa wakin dhulumu ka-n-mnyemaza tu, sahi nimepiga telephone kuongea na msee a few minutes less than four ivi, ishanipea warning, nacheki credo, ishajipa shughuli.
Nipewe ujanja ya airtime, huwa napiga simu sana…na naona kwa mwaka nalipa credo ya zaidi ya 100k (nimepiga hii hesabu na average ya 400 daily) ni zaidi juu pia nita top up simu ya wife, ya job na my sons hapa na pale
Mimi huwa sina shughuli na safaricom products, Leo nmekaskia juu Sina mbirrions kwa mpesa na inabidi nitumane kwa shop niletewe credo. Niliwacha kutumia okoa jahazi juu I realized huwa very addictive na inaweza funga msee mbaya.
I’m working on many small things that I score poorly (spending habits na madeni za ufala juu ya ku promise mtu ntamjenga kakitu)
Ingia Postpay plan. Unapewa minutes, sms and bundles. Ikibaki inakuwa carried over to the next month. Ksh 1000 gets you 400 minutes, 1000 sms and 8 Gb of data in a month. You can get Ksh 2000 postpaid plan that gives you 1000 minutes, 2000 sms and 15Gb data.
Kuna shady characters working for safcom, I use airtel as my main line, safcom tu ni mpesa nothing else.
You see am the kind of guy who manages his finances in excruciating detail, hata 0.05 ikipotea na jua and all I can say saf ni wezi nilikua naacha balance ikua kama 150.96 airtime napata asubuhi ni 150.48, Very small difference ya 0.48ksh mtu kawaida haezi ona lakini multiply that across their millions of subscribers na kuna engineer huko ndani ana nukisha kitunguu mbaya sana