Bundles na airtime ya safcom inaisha mysteriously, hawa watu wako na ukora, kuna mtu amenotice hio, from date 22 wamekua wakipora watu
Peasants everywhere
5 Likes
Kwani wamekubamba aje mpaka umepost 2 times
shika hii 1k enda utoe lock
Unatumia simu gani? If ni android enda settings na uweke data usage hapa tuone
Safaricrom rob us 24/7, 365 lakini hawatumalizi. Tulia kakabraza and continue bending over Safaricom wakukamue.
1gb yangu yote kaenda jana…