Sadness Of Life

Mjamaa for most of his life anaabstain na akiamua nikudinyana hajawahi kosa condom mpangoni , wale hubeba condom kwa wallet kwa hivyo he always protects himself. CD haijawahi pasuka na akipewa dry fry anakataa. Hata wakipimwa anajua hawezi bila rubber johnny then anapata accident and requires an urgent blood transfusion. He contracts the virus in the process. #sadness of life.

Msichana anafunzwa vizuri na mamake, kupeana mguu hapeani, wale unawaitanga wanakukiss lakini huwezi hata ingiza kichwa. Akiona unainsist anabwaga. Pesa kwake haiwezi mwingiza box. anasoma anaget job poa, manners ako nazo na heshima haipungui.
wale ukipata in this day ni muujiza. Anamaintain virginty mpaka the wedding night. Ten years later bado anatafta mimba hawezi zaa.
#sadness of life.

Umehustle job. Hii Nairobi hakuna mahali hujulikani ukiulizia kazi. Ulisoma mpaka masters lakini kazi inakuwa wali wa daku. Ulistruggle kulipa fee. Ulienda parallel program. Umetarmac for the last 5 years. Siku moja unaingia ofisi unafanya interview. Unapita. Starting salary ni 100k. You can’t stop smiling. You should report to work the next day. You rejoice for the luck. Ukienda kupanda matatu tao, cord demonstrators na askari wanapigana. Stray bullet inakupata. Msee anagenya. #sadness of life.

Unaamini institution ya marriage na that dame mzuri anatoka kanisani. Sunday school hukuwahi miss. Ukiwa youth ulikuwa kati ya wale walikuwa wanaorganize macrusade. kila mtu kanisa hata pastor wanakujua. Sahii we ni usher. Unaanza kutafta bibi na kufast on the same.
Msichana anaona amechoka kupeddle sex pale SJ na kwingineko. Goods zimebeat lakini bahati amekwepa ukimwi. Anareform na kuamua Kwenda kanisa. Yule jamaa anamkaribisha. The rest is history. Wanaoana one year later. Anajua dame si vajo lakini hajui kenye hiyo kuma imefanya.
#sadness of life.

Msee ni professor. Amesoma na pesa ako nazo mzuri. Bibi ameoa mzuri kupindukia. Pia yeye amesoma ni lecturer. A family of academics. Wametry for the last fifteen years kupata mtoto. Wameenda hospitali zote for fertility sessions na kadhalika. Wakianza kufikiria mambo ya kuadopt bibi anapata mimba. Anabeba for nine months. Anazaa. Akigrow wanagundua he is mentally challenged. #sadness of life.

Msichana akiwa campus alikuwa partyhollic. Amejibamba yake yote. Hakuna kitu hajui, mahali hajakuwa. Sex ameenjoy at her prime. Akiwa first year alishika ball bahati mbaya akiwa naive. Akaabort. Akiwa third year alikuwa na boyfriend. Alikuwa anatumia p2 siku moja ikabackfire akapata ball tena but hakuwa ready. Akaabort tena… graduation day bahati mbaya tena akapata ball but hakutaka , hakuwa ready. Akaabort. Akaget job na akaolewa. Two years into the marriage akashika ball. Bahati mbaya akamiscarry. Few more years script ni ile ile. Every third month into the pregnancy anamiscarry. The tenth year inakaa mpaka nine months halafu anazaa still born. #sadness of life.

In this life there are no guarantees. #sadness of life.

9 Likes

summary tafasari

hizo theoretical scenarios ni mingi. sasa tu-do?

1 Like

hehehe…si una ufala

shit happens!

short form priss

Wazazi wanauza ng’ombe. Wanalipa fees usome. Unasoma mpaka Nairobi Aviation. During lunch break unagundua Ktalk. Unaanza kuandika ujinga hapa. Ndipo sisi wote tunagundua wazazi wako waliuza ng’ombe kusomesha ng’ombe ingine. Hata afadhali hata wangeweka ng’ombe za kwanza wauze maziwa. #Sadness of life.

33 Likes

Acknowledge source please.

[ATTACH=full]41695[/ATTACH]

4 Likes

Ndio nini hio?

Mzee amepata msichana dot com willing to stand his pungent old man smell. Amenunua pombe. Wiki ya pili ametuma ya nywele. Ya nne ashalipa pia rent. Siku ya kupewa slices kitu inakataa kusimama. #sadness of life.

2 Likes

One or two would have drove the point in, stopped on the third one.

Guka kwani bloodthinner supply imeisha?

http://i.imgur.com/aIgECav.gif

4 Likes

:D:D:D

:D:D
“Pimp5000H” get a P3…You’ve been mercilessly fisted. …

Sadist owned…!! How did you manage to come up with all this shit?

the joy of laughter @FieldMarshal CouchP octogenarian umefanya niongezee masiku kadhaa kwa maisha yangu

2 Likes

the ninja gives the word twisted a whole new meaning…

2 Likes

:D:D:D:D:D

but life is too twisted

Babu hayo matusi sio kidogo.