Muko wapi?
Sacco gani ingine saa hii???
1 Like
Wewe piga ripoti kwa O.B. @Meria Mata ndie ako na roll call
1 Like
kuna usiku sacco wenye wanalala mapema na ya night runners:D
Sikukua nimeona ya M2 blame it on withdrawal symptoms za pombe najaribu kuachana nayo, roho itaka niwachane nayo lakini mwili umekufa nguvu.
1 Like
hii nayo ni ipi? Nway hata hii Present
one day at a time bro…utatoboa…
1 Like
Bsngi isiwe huru