Sabotage ama wako unlucky?

Ajali kila siku?

[MEDIA=twitter]1608803941235716098[/MEDIA]

Utapata ni pure incompetence ya wenye company.

The minister of transport has just instructed NTSA to ban them indefinitely

Nimeona complaints about modern coast buses online, especially the ones plying the Kigali route, mara basi haina brakes, shida na crank shaft… sijui hai pick higher gears… their buses are moving coffins.

These guys wali gonga my machine from the back… Nd never compensated for the damage…

Unfortunately i had subscribed to a 3rd party as i shop for a good comprehensive cover… Had to foot that bill…

3rd party is nono unless nime sota ile mbaya , hiyo wasi wasi sitaki

Msee uko na degree kweli? Read up what insurance companies cover for magari kuukuu.

mimi sipeleki gari mzee ! shida zenu sielewi !

Mleta mada, ngojea wasee wakitui wakwambie mwezi wa sadaka huwanga upi.

Pole chief , accidents are traumatic. I can give you kamoteh to avoid such nasense for some affordable fee

Contractors huwa na pesa just get another one bana

Chunga sana vile unaongea

Hapana Tisha watu

Si hawa wanatoa watu kafara