Sabina Joy VIP?

Wadau nichanueni, I entered Sabina joy last sato jioni it was full house but somewhere kwa couch nikapata space (which seemed suspicious coz some ppl were still upstanding). Anyway I made myself comfortable,

I asked the waiter to bring me Tusker, he was very rude and arrogant, at “hakuna chupa moja hapa tunaagiza zikiwa mbili mbili!” Really? I asked Captain Morgan quarter price naambiwa Ksh. 700. Kwani you guys are billionaires ama ni nini coz sielewi. I just stood up and left.

I hopped in pale Rico pub, pia hao bei ilikuwa tricky so I’m wondering if ni mimi nilikuwa nakaa section ya VIP ama hiyo ndio bei??

3 Likes

Rookie:D:D:D

Nifunzeni hii maneno ya town

1 Like

Ju? Kunaendanga aje ikifika hapo?

Ebu watuambie vile kunaendanga coz this earth is hard!

Peasant Detected. Hapo ni Premium

Hapo sawa. Lanes. Kila mtu akae lane.

Pesa niko nayo but hiyo ufala siwezi fanya, heri niende westie nijibambe na akina Mayonde. Value for money.

1 Like

Hata pikcha ya mayondo hakuna.

Ukunywe double soo sita badala ya quarter mia saba?

Kwani ulikuwa ulipe malaya na tropical ikiwa chupa ya mia saba inakushinda?

1 Like

captain morgan robo ni fobe ya 300 wanauza 700?

Ingia ,slap some booties,usiitishe pombe kama malt and dont look around mersmerised by the kungurus . SJ-ians can smell rookies from the groundfloor.in any place,ingia like you own it

Meffi wewe peasant. Enda shot wachana na story za starehe

Anza na club ndogo ndogo kama Geo na Lazarus uki ascend, tu build confidence ya club kubwa. Ama uende SJ after usha chambua keg vikombe nne huku nje. I

1 Like

Chupa huwa mbili mbili. To sieve out peasants and time wasters. Kama huwezi afford chupa mbili enda ukalipilie jaba base. Huyo waiter alikuwa na attitude most likely ni Nyaga. Ghaseer sana in short changing

2 Likes

SJ ni kwa kusafisha kibui and not get drinks.

Kwanza huyo nyaga hupenda ku malaysia na change sana

1 Like

Wakwende huko

Hahah alikuwa anakaa tu mkora, anyway hiyo bei ni ya billionaires acha ni stick to my lane G