I have been drinking at Sabina Joy for very many years but lately, there are so many new faces. Inakaa uchumi imesukuma wanawake sana…Enyewe, mimi siku hizi sinanga maneno mingi. Nachapa tusker zangu tano na kurudi mtaa.
Kwani ulichomeka
Stock mpya, maybe management did away with wale wa kitambo
Kuna talker alipost hapa venye management ilifkuza old faces juu walikua ma lesbian
Tafasali hii post isifikie @MTINGIZA_KITANDA aka village sponyo Ama atamalizia dollars huko. Mtingiza ukifika nayarobi nikujie na ndula safi sana za Nike
Mbona mnani tempt na umalaya ya brothel na nilikuwa nimesare… mnafanya niwe curious… shida nikiingia kucheki nitakulana. Hizo places huwa trap house
Old faces hukosa market SJ cz wanaume wamewazoea. So hua wanashuka VIP na Amar kwenye wakiland wanakua the new faces wanakunjwa na majamaa mbaya sana.
Nko sure more than half of y’all here talking about kusalimiana & new stocks of malayas don’t got a mil in stock, assets or just idle money kwa bank. Those hoes only drain your time, money, energy & resources.
Amerix quote “change or perish”
Ndio maana nimesema hii post isikufikie. Waaa wawa wa wa…tumefanya nini jameni!!!
Na by the way usharudi kivande hii, nilikuwa nikutume kwa shop fulani hapo kando ya barabara hapo yunaired state unikujie na ndula kali oriji za nike
DNA ni Ile Ile
Ukifika hapo Kamukunji utapata Nike oriji at a quater of the price
Nataka ile ikona price tag in dollars: . Kamukunji nitashika ndula imbo
Btw nilipanda kwa hiyo ghorofa ya Viatu hapo kamukunji…kulikuwa na every trype of shoes bana. Zilikuwa zinakaa legit sana but am 100% zilikuwa fake. Viatu origi huwa expe sana…na btw mbona sisi huuziwa timberland 4500 bob moi avenue while real timberlands go for over 10k? Na za moi avenue hu last btw
Hizo zote ni imbo, timberland oriji labda ushike mtush. Nina moja oriji huwa naivalia once once isichape juu ilini nice.
Timber zangu za Moi Avenue bado zina hold up…i don’t know kwenye wanatoa cheaper and not so fake.
Any one who quotes and follows Amerix teachings is a mummys boy with daddy issues or comes from a single mum family.Which is ok.
I prefer buying shoes at Flo Shop( Za Turkey) instead of kununua label fake. siku hizi nike fake cha china ni kama uniform. zimejaa kamukunji
Hio base ya kamukunji kila kitu ni fake too much.Picha za ma airmax zenye wana post ni different sana na zile ma airmax ziko kwa ground.This applies to many other brands that they advertise.
Kuna jamaa anaitwa mwacheezy pale twirra huuza sneakers kali sana.Venye umei ona kwa picha ndio venye inakaa in real life.Of course ni fake coz origi ni kama 18k but yenyewe unaona mwenye ameimake ame weka effort.Plus zina last.Niko na pair kama nne za ma sneakers nimebuy kwake nimekaa nazo almost two years bila issue yoyote.
Halafu wengi hawajuangi difference between origi na fake.Ukipata fake za mwacheezy upige nayo luku bado ni sawa tu.Nikama mbota nguyaz flani ya hublot miukunywa nayo watu wa procurement vibaya sana.Nikienda meeting yoyote naivaa na koti ya dont touch my wrist.Unanoticr mwenye unameet anashinda aki iangalia.Of course ni fake lakini inakaa origi vinoma.Nilibaia jama flani wa procurement nikaskumiwa ma order mingi saidi.
Kamukunji labda ninunue house hold item but sio ndula…i rather niingie gikosh unaweza kwachu njuta
slightly used at a fraction of price but ni vitu legit. Hizi ndechu za shop huwa fake… kuna njumu niliokotq kwa soko at 3500 to test them…one day nikatembelea morio wangu nikatoa viatu nikawacha nje ndio niingie kwa hao…kutoka? Napata zilichapwa na solar…sole na ngozi zimewachana. Kumbe gum iliyeyushwa na solar bwana
Chenye watu wa soko hufanya ni wanarauka gikosh mapema sana wanachukua the very much used shoes kwa bei ya ubwete like 600bob each then wana badilisha sole.Hapo hapo gikosh gorofani kuna base ya kuuziwa na kuwekewa sole.Zinashikishwa tu na glue design ya mass production gikomba style so haishiki poa.Anauzia mtu ma lebron 16s for 6k akim convince ni oriji kumbe the only thing yenye ni oriji ni body ya kiatu.Sole alibadilisha.