3 Likes
Enyewe county council askaris ni watu bladifaken sana nilikua tao naona signages wamezitoa na zingine wanavunja na hakuna kitu wanafanya hii jiji. Watu bladifakin sana.
4 Likes
Hii ni laana, hio kitu haifai kuguzwaguzwa ovyo ovyo na kufanyiwa vile imefanyiwa…itabidi watafute wazee bure…
4 Likes
Sabina joy is not actually called Sabina joy.
The banner outside is Club Sabina…
And jamaa is walking around with goons to protect himself
Wasiguze calabash
Lazima Iwank…hakuna kuenda Sj
Bado iko open.
Si the county can be sued in court naona business people wengi wamelipia dooh ya this rights za signs za biashara zao even full year but zinakua vandalized na hawakupewa notice pia.
3 Likes
That fool should respect such a place. Its older than his father too