Saa ya mkono

Wadau natafuta saa ya mkono. Makadirio yangu ni alfu tatu. Isiwe ya chuma. Saidieni.

I have a mark-pen, do you know how to draw?

2 Likes

Enda kwa muindi tafuta Q&Q.

1 Like

:D:D:D:D

1 Like

Noogle

1 Like

Hio elfu tatu labda ununue Amazon and ship it in using VituMob. You’ll find very nice original watches there at fair prices.

1 Like

Acha niangalie

1 Like

Leta 6k nikupatie hii.[ATTACH=full]147170[/ATTACH]

1 Like

Kama hii yangu?
[ATTACH=full]147179[/ATTACH]

1 Like

Kaino niaje

[ATTACH=full]147247[/ATTACH] alfu tatu mia tano utapata kama hii