S.H.I.F

Watu wa payslip, hasira imepungua ama iko juu?

1 Like

Hebu watuambie payslip imenyongwa kiasi gani

1 Like

Bei Bado ni 150 calabash

Probably won’t make much of a difference.

Hiyo role ulipewa yaweza kukuchizisha for good.