Ruto

Today he will be in kakamega. Ruto handlers are currently dishing out money in a hotel in kakamega town, opposite somken petrol station adjacent to kenol petrol station. They are given ksh. 500 and UDA t-shirt. Other handlers are station at khayega market, shinyalu and musoli.

Hiyo ndio report tunapata asubuhi, mwambieni we are watching

Ruto slept at golf hotel.

Weka evidence hapa nikuamini

Hata vedio na audio ziko but we will have revealed our people

nyinyi mko mean na pesa yenu mnaexpect nani atawapigia kura?

Inafaa tujiulize huyo mwenye anajifanya mkarimu kuliko wote alitoa hizo pesa.

nasikia alipewa 10 billion aingie chama

So they are useless or they don’t exist?

Aliiba, na sio siri, na hatuna shida na io, ask the next question

The chambaz should be cooling his heels hapo kamiti.

kamiti hakuna mwizi wa pesa za umma,

TOTO boyz wa Oparanya amekubali ?

Ruto has given out ksh. 500k in khayega Market, 1M for musoli and malinya market and another 1M for sabatia and butere. @sani hii pesa inatoka wapi

That is how Moi was operating, yaani anaweka all your taxes kwa boot ya gari, then he moves around the country making stops and giving donations to the cheering crowds on the roadside. That is why there was zero development during nyayo days. Arrroorrr wants to be Nyayo 2.0.

Pesa kidogo sana io, ukipewa 10 billion na mama ngina 2013, uweke kwa infrastructure bond inakupea 12% p.a tax free, utakuwa unapata pesa ngapi kwa siku za kupeana bure kwa hustlers wenzako? Arror hajaiba, fanya hesabu, wacha kuwa lazy.

Arror is worse my fren

Ruto ni mwizi, wacha mehemehe mingi wewe.

However much a dog is kicked…it can still be kicked again, na hakuna kitu mtafanyia yeye