Ruto the 5th

[MEDIA=twitter]1544004185888260098[/MEDIA]

@Electronics4u zoea rais wako na mapema

Raila Ojinga will never be president

Ati sasa ni marafiki. Uhuru’s cousin puts it very well in this morning discussion

[MEDIA=twitter]1543979543161196548[/MEDIA]

[ATTACH=full]448631[/ATTACH]

Better a slap than a smile to make you cry later.
Cant go wrong with such a friend.

Shida ya Raila ni kuwa ni mzee na analala saana despite having a few laywers kando yake. Raila angeshakuwa presiident kitambo saana ni hii tabia yake ya kulala lala hapa na pale na kitendawili ndo inamkosea. Anyway this time roud Raila have an out going president supoorting him. Things might be different

Mnafurahishwa na vitu ndogo ndogo sana.
Anyway tupatane kwa debe Wadau.

Ruto the 5th. End state capture

No kidding!
Mombasa Town huwa Raila damu!

Mbona sasa

Ruto the fifth

Hehehe

Naambia watu ya kwamba coastal politics has changed, we wouldn’t be having this convo in 2017. Raila will for sure get votes lakini pia ruto atapata nyingi sana huku.