2 Likes
Can we donate him to you?
1 Like
Ruto akisema. Kenya imesema kwasababu yeye ndiye final say wa Kenya.
1 Like
nlikua nadhani ulikua umezikwa kwa lile jengo lililo anguka
Vipi kaka, nilidhani ulibebwa na mafuriko huko Kwa mama Suluhu. Iko shwari lakini? Je unaenda show ya Sean Paul Leo ?
Kasongo ndilo jina jipya si lootAll
RuthoMustGo